Mpango Wa Uwekezaji Kwa Mkupuo
Njia hii inakusaidia kukisia mapato/faida ya fedha unazotarajia kuwekeza kwa mkupuo kwa mda unaopanga kuwekeza. Kwa maana hiyo unaweza kupanga kiwango cha fedha cha uwekezaji wa mkupuo na kukadiria faida yake kwa kipindi hicho unachotarajia kuwekeza.

