• Mfuko wa Umoja
  • Mfuko wa Wekeza Maisha
  • Mfuko wa Watoto
  • Mfuko wa Kujikimu
  • Mfuko wa Ukwasi
  • Mfuko wa Hati Fungani

Mfuko wa Umoja

Date: Thursday, 20th of February 2025
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
378, 487, 695, 874.9970 337, 527, 624.2687 1,121.3532 1,121.3532 1,110.1397

Mfuko wa Wekeza Maisha

Date: Thursday, 20th of February 2025
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
20, 282, 301, 910.7490 20, 545, 097.9915 987.2088 987.2088 967.4646

Mfuko wa Watoto

Date: Thursday, 20th of February 2025
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
25, 933, 324, 614.6561 35, 601, 331.4259 728.4369 728.4369 721.1526

Mfuko wa Kujikimu

Date: Thursday, 20th of February 2025
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
33, 466, 927, 266.8600 181, 608, 597.3866 184.2805 184.2805 180.5949

Mfuko wa Ukwasi

Date: Thursday, 20th of February 2025
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
1, 450, 640, 197, 212.8899 3, 292, 793, 525.3453 440.5500 440.5500 440.5500

Mfuko wa Hati Fungani

Date: Thursday, 20th of February 2025
Net Asset Value (Tsh) Outstanding Number of Units (Tsh) Net Asset Value Per Unit (Tsh) Sale Price Per Unit (Tsh) Repurchase Price Per Unit (Tsh)
799, 686, 477, 509.7150 6, 685, 896, 134.7781 119.6080 119.6080 119.6080
Kutoka Kwa Mkurugenzi Mtendaji

Karibu UTTAMIS.
Uwekezaji katika mifuko ya pamoja ni rahisi kuliko unavyofikiria. Ni njia nzuri ya kukuza mtaji kwa wale wenye malengo ya muda mfupi, kati na ya muda mrefu. Mifuko hii ni aina ya uwekezaji wa pamoja ambayo inaruhusu wawekezaji walio na malengo sawa kuwekeza fedha zao kwa pamoja kwenye jalada la dhamana au mali zingine.

Mifuko ya Uwekezaji

✻✻✻

Mfuko wa Umoja

Mfuko wa Umoja ni mfuko wa wazi ambao unamfaa mwekezaji mwenye malengo ya muda mrefu.

Mfuko wa Wekeza Maisha

Mfuko wa wekeza Maisha ni Mfuko wa kwanza kuanzishwa nchini Tanzania ukiwa na faida jumuishi ya bima na uwekezaji.

Mfuko wa Watoto

Mfuko wa watoto ni mfuko wa wazi wenye lengo la kukuza mtaji ili kumsaidia mtoto/mzazi kukidhi gharama za shule.

Mfuko wa Kujikimu

Ni Mfuko wa wazi wenye malengo ya kukuza mtaji na gawio la mara kwa mara.

Mfuko wa Ukwasi

Mfuko huu ni mpango ulio wazi unaotoa njia nyingine ya uwekezaji kwa wawekezaji wanaotaka kuweka fedha zao kwa kipindi cha muda mfupi na katika kiwango kilichopo kwenye ushindani. Hatari/Athari kidogo katika uwekezaji na ukwasi wa hali ya juu ndio dhumuni hasa la mfuko huu.

Mfuko wa Hati Fungani

Ni mfuko unaotoa fursa kwa mwekezaji kuweza kuwekeza na kufurahia faida shindani inayopatikana kwenye hatifungani mbalimbali za Serikali kwa lengo la kukuza mtaji na kupata gawio aidha kwa mpango wa mwezi au nusu mwaka.

Ukubwa wa Mfuko

✻✻✻
Tarehe Jina la Mfuko Ukubwa wa Mfuko Idadi ya Vipande Thamani ya Kipande Bei ya Kununua Kipande Bei ya Kuuza Kipande
20-02-2025 Mfuko wa Umoja 378,487,695,874.9970 337,527,624.2687 1,121.3532 1,121.3532 1,110.1397
20-02-2025 Mfuko wa Wekeza Maisha 20,282,301,910.7490 20,545,097.9915 987.2088 987.2088 967.4646
20-02-2025 Mfuko wa Watoto 25,933,324,614.6561 35,601,331.4259 728.4369 728.4369 721.1526
20-02-2025 Mfuko wa Kujikimu 33,466,927,266.8600 181,608,597.3866 184.2805 184.2805 180.5949
20-02-2025 Mfuko wa Ukwasi 1,450,640,197,212.8899 3,292,793,525.3453 440.5500 440.5500 440.5500
20-02-2025 Mfuko wa Hati Fungani 799,686,477,509.7150 6,685,896,134.7781 119.6080 119.6080 119.6080

Ufanisi wa Mifuko

✻✻✻

Vidokezo vya Uwekaji Akiba kwa Ufanisi

& Uwekezaji

Wekeza kupitia

✻✻✻

0800 112 020

(+255) 22 2137593

uwekezaji@uttamis.co.tz